NJIA YA KUONDOKANA NA MADENI

Hello habari rafiki: Leo nitapenda nikufundishe jinsi ya kufanya ili uepuke madeni katika biashara yako au katika maisha yako, ishu ya kuishi na madeni sio ya yalazima na hata Kama utatengeneza deni ifikie muda uwe huru.

NJIA HIZO NI ;. 1) Kukubaliana na hali ya maisha uliyonayo. 2) Epuka maendeleo ya haraka. 3) Punguza tamaa ya vitu vizuri ukiwa na uwezo mdogo wa kifedha. 4) Kataa umaarufu kwa Mali zisizo zako. 5)Punguza matumizi ili yawe sawa na kipato chako. 6) Ona faida ya kuwa huru kuliko kumalizwa furaha na wanao kudai. 7) Amini shida zako niza muda tu ipo siku zitaisha. 8)Fanya kazi kwa bidii . 9)Usiwe na mradi mmoja wa kukuingizia kipato. 10) Muombe Mungu akusaidie ili usikumbwe na matatizo yatakayo pelekea kukopa madeni makubwa.

1 thought on “NJIA YA KUONDOKANA NA MADENI

  1. Website hii ni nzuri sana kwani inafundisha jinsi ya kuweza kufanikiwa kifedha na maisha kiujumla pasipo gharama za malipo ya aina yoyote.

    Like

Leave a comment

Design a site like this with WordPress.com
Get started