NJIA YA KUONDOKANA NA MADENI
Hello habari rafiki: Leo nitapenda nikufundishe jinsi ya kufanya ili uepuke madeni katika biashara yako au katika maisha yako, ishu ya kuishi na madeni sio ya yalazima na hata Kama utatengeneza deni ifikie muda uwe huru. NJIA HIZO NI ;. 1) Kukubaliana na hali ya maisha uliyonayo. 2) Epuka maendeleo ya haraka. 3) Punguza tamaa … Continue reading NJIA YA KUONDOKANA NA MADENI