Maisha Bora yanatengenezwa na mtu, na hii ni jukumu la Kila mmoja ili kutokuwa watu tegemezi katika jamii tunazo ishi. Katika safari ya maisha yapo mambo makuu mawili ni lazima na sio muhimu kuyapata, MAMBO 2 YA LAZIMA NI HAYA (1) HELA : kuwa na hela ni jambo la lazima sana kwa mujibu wa biblia fedha inazungumziwa kuwa ni jawabu ya kila jambo, hela ina nguvu na uwezo wa kufanya mahitaji kwako ikiwemo chakula, maladhi, mavazi, ada ya shule, n.k hivyo basi jitaidi kutafuta pesa na wala usikate tamaa. (2)IMANI: wakati unapoishi hapa duniani hujawahi kufikilia mwanadamu ametokana na nini au ameumbwa na nani? Jibu sahihi ni Mungu wa mbinguni alieziumba mbingu na nchi, hivyo wakati umebarikiwa kuwa na pesa tamani na kwenda mbinguni kwenda kupeleka ripoti ya kazi ulioifanya juu ya kuhamasisha watu waende mbinguni. Tengeneza imani nzuri ya kiroho ili usije ukajutia utajiri wako huko mbinguni na kusema wakati ulioutumia kutafuta pesa ungemtafuta Yesu kristo au allah(Mtume muhamadi)
Good contents is provided by Mwl.filbert
LikeLike