Author: Filbertjonathan
KUONDOKANA NA MAISHA YA BAHATI MBAYA
Ndugu mwana blog kabla sijaendelea sana ninapenda nikujulie hali , hakika Mimi niko mzima wa afya na kwa imani wewe pia u mzima. MAISHA YA BAHATI MBAYA IVI NINI MAANA YAKE ? Hivi ni vile mtu anaishi maisha ya kutokulidhika kuanzia kula, kuvaa, makazi, maradhi, elimu na uchumi kiujumra. Hi ndio tafsiri halisi ya maisha … Continue reading KUONDOKANA NA MAISHA YA BAHATI MBAYA
MBINU YA KUWA NA WATEJA WENGI
Wajasiliamali na wafanya biashara wengi wamekuwa wakitumia muda mwingi kufikilia ni kitu gani afanye ili ajipatie WATEJA wakutosha kusudi mtaji wake ukue haraka na ajipatie mafanikio mazuri ya kiuchumi. Zifuatazo ni mbinu 20 ambazo ukizifahamu na kuzingatia vyema utakuwa na WATEJA wengi katika biashara yako , lakini kwa leo tutajifunza mbinu 10. 1. Kukidhi mahitaji … Continue reading MBINU YA KUWA NA WATEJA WENGI
Umuhimu wa maarifa katika mafanikio yoyote.
NJIA YA KUONDOKANA NA MADENI
Hello habari rafiki: Leo nitapenda nikufundishe jinsi ya kufanya ili uepuke madeni katika biashara yako au katika maisha yako, ishu ya kuishi na madeni sio ya yalazima na hata Kama utatengeneza deni ifikie muda uwe huru. NJIA HIZO NI ;. 1) Kukubaliana na hali ya maisha uliyonayo. 2) Epuka maendeleo ya haraka. 3) Punguza tamaa … Continue reading NJIA YA KUONDOKANA NA MADENI
Sababu za biashara nyingi kufilisika
1.kutokuwa na daftari la mapato na matumizi. 2.kutokujali madeni madogo madogo. 3.kutokuwa na usimamizi makini kwenye biashara. 4.kutokufanya hesabu za tathimini za mtaji wako. 5.kuwa na matumizi holera. Hazo Ni sababu 5 muhimu zinazopekea mtu afilisike kwa haraka sana. Ahsante
Biashara 5 za mtandaoni.
Biashara hizi zinaweza kukuingizia kipato kizuri usiku na mchana endapo ukizikomalia zaidi jinsi zinavyoendeshwa. 1.affiliate marketing (kutumia link za watu au kampuni zinazotumwa kwenye website yako). 2.Ads monetization (kupitia matangazo ya Google wenyewe yanayurushwa katika blog yako). 3.physical or digital product offering (kuuza bidhaa mbalimbali vitabu, nguo, na Kila kitu inawezekana) 4.Subscriptions charge (unaandaa contents … Continue reading Biashara 5 za mtandaoni.
MBINU YA KUWA NA WATEJA WENGI
Wajasiliamali na wafanya biashara wengi wamekuwa wakitumia muda mwingi kufikilia ni kitu gani afanye ili ajipatie WATEJA wakutosha kusudi mtaji wake ukue haraka na ajipatie mafanikio mazuri ya kiuchumi. Zifuatazo ni mbinu 20 ambazo ukizifahamu na kuzingatia vyema utakuwa na WATEJA wengi katika biashara yako , lakini kwa leo tutajifunza mbinu 10. 1. Kukidhi mahitaji … Continue reading MBINU YA KUWA NA WATEJA WENGI
Neno la faraja
hello watanzania tatizo la ajira sio kwetu tu hata nchi za nje tatizo hili lipo tu. Ila cha msingi kikubwa nikujiajiri wenyewe kusudi tujikwamue kiuchumi na tuondoe lawama kwa SERIKALI yetu. Fatilia blog hii ili ujifunze zaidi .
Kanuni za kuanzisha biashara
Habari !. Leo tutajifunza njia kuu tatu za kuanzisha biashara . Kabla kufungua ofisi yako ya kibiashara au ya kijasiliamali nilazima kuzingatia mambo haya 3 ili ukuwe kimaendeleo kwa halaka sana na isivyo kawaida kwa watu wengine. NJIA 3 ZA KIJASILIAMALI NA KIBIASHARA. (1) BIDHAA. BIDHAA ni kitu ambacho unatakiwa kufikilia kabla hujawa na mtaji … Continue reading Kanuni za kuanzisha biashara