Ndugu mwana blog kabla sijaendelea sana ninapenda nikujulie hali , hakika Mimi niko mzima wa afya na kwa imani wewe pia u mzima.
MAISHA YA BAHATI MBAYA IVI NINI MAANA YAKE ?
Hivi ni vile mtu anaishi maisha ya kutokulidhika kuanzia kula, kuvaa, makazi, maradhi, elimu na uchumi kiujumra. Hi ndio tafsiri halisi ya maisha hayo .
Watu wengi wamekuwa na kauli za lawama,wakiwalaumu watu, wazazi,rafiki,wapenzi, mke/mume selikali n.k wengine wanamlaumu Hadi Mwenyezi Mungu. Kutoa lawama hizo sio vibaya Ila unatoa kwa mtu/sehemu husika
Pamoja na changamoto unazopitia zinazo kufanya uishi maisha ya BAHATI mbaya aidha kwakutokusoma, au kukosa ajira, mke ,mume,n.k kwa kosa lililotokea hapo zamani mfano umasikini imekuwa Ni chanzo kikubwa cha watu kuishi maisha yasio kuwa yakwao.
Hivyo basi tuone jinsi ambavyo tunaweza kutatua shida hii 1/usikumbuke Yale ya zamani Kama sehemu ya kukukatisha tamaa Bali