1.kutokuwa na daftari la mapato na matumizi.
2.kutokujali madeni madogo madogo.
3.kutokuwa na usimamizi makini kwenye biashara.
4.kutokufanya hesabu za tathimini za mtaji wako.
5.kuwa na matumizi holera.
Hazo Ni sababu 5 muhimu zinazopekea mtu afilisike kwa haraka sana. Ahsante