Biashara hizi zinaweza kukuingizia kipato kizuri usiku na mchana endapo ukizikomalia zaidi jinsi zinavyoendeshwa.
1.affiliate marketing (kutumia link za watu au kampuni zinazotumwa kwenye website yako).
2.Ads monetization (kupitia matangazo ya Google wenyewe yanayurushwa katika blog yako).
3.physical or digital product offering (kuuza bidhaa mbalimbali vitabu, nguo, na Kila kitu inawezekana)
4.Subscriptions charge (unaandaa contents Kisha unaweka kiasi cha ada kwa Kila anaetaka kujifunza)
5. Coaching.(kufundisha ujuzi furani au kuaplodi makala mtandaoni kwasababu Kila atakaye angalia una pokea pointi za mapato kutoka katika mtandao )
Chagua biashara unayo taka kuifanya na utakayoona ni nyepesi kwako afu nikusaidie namna utakavyo weza kuendesha na ajipatie fedha. Ahsante!!!.